Marketing Online Course by Udemy, On Sale Here
Mafunzo ya Youtube kwa lugha ya kiswahili
An excellent training about Social Media Marketing
Youtube Course for beginners kwa Lugha ya Kiswahili 2020
Haya ni mafunzo maalumu ya namna ya kuengeneza Youtube channel ambayo itakuwezesha wewe kutengeneza kipato kupitia mtandao wa Youtube. mafunzo haya yametolewa kwa lugha ya kiswahili ili kukuwezesha wewe mjifunzaji kuelewa kwa urahisi. katika mafunzo haya nimejitahidi kuelezea kila kitu kinachohitajika ili kufanukusha kutengeneza youtube channel. ni matumaini yangu baada ya kumaliza mafunzo haya utakuwa na uwezo wa kutengeneza channel yako mwenyewe
Udemy is the leading global marketplace for learning and instruction
By connecting students all over the world to the best instructors, Udemy is helping individuals reach their goals and pursue their dreams.
Study anytime, anywhere.
Reviews
There are no reviews yet.